Kwa wale members wote wa YUNA waliopo sekondari na chapter mbalimbali vyuoni wanaotaka kushiriki katika Model United Nation (MUN) mkoani Mwanza,application form zinapatkana online ni kujaza na kuituma kwa njia ya E-mail mwisho wa kutuma ni tarehe 7/1/2013 saa 5:59 Usiku. Gharama ya kujiandikisha ni Tsh. 5000 tu.
CLICK LINK HII KUPATA FORM, IKISHAFUNGUKA CLICK DOWNLOAD BUTTON YA CHINI KABISA AMBAYO NI NDOGO KUPAKUWA FORM HII YA MUN
http://www.2shared.com/document/Dws--Kep/Mwanza_R-MUN_Application_2013.html
No comments:
Post a Comment